Diamond hakuwaza madhara ya kujiita Dangote

Diamond ni mfanya biasha na dangote ni mfanya biashara diamond anatangaza biashara ya dangote bila malipo!

Nikulize ulisha wahi kuona Regnald Mengi anajiita Bahkresa?

au ulisha wahi kuskia EAradio wanapiga promo fiesta ya clouds?
Mkuu, kuna watu humu hawataki kuusema ukweli. Wanachangia kishabiki kuliko kuangalia business contraversal ya kuiga jina la biashara ya mtu ili hali na wewe ni mfanyabishara.
 
Tajirijasiri kumbe nimasikini wa akili ;kinyeesi kwa brain
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Sidhani kama kuna mmiliki wa jina mwenye hati ya jina lake, jaribu kuingia kama fb na uandike majina yako yote mawili mnaweza kuwa mko zaidi ya 1000 sasa mwenye haki ya ilo jina ni nani apo ili akawashtaki wenzak?
 
kwahiyo unataka tujadili na hilo??
 
Kumbuka Dangote ni jina la kampuni iliyosajiriwa Tanzania, na brand na ni brand name ya bidhaa ya Cement inayozalishwa na kampuni hiyo ya Dangote.
Brand name ni dangote cement siyo dangote.
Otherwise mbona kuna mohamed trans na mohamed enterprise.
Wote wana mohamed lakini huyy ni trans n huyu ni enterprise.
So huyu ni dangote cement na huyu ni chibu dangote
 
Mkuu, kuna watu humu hawataki kuusema ukweli. Wanachangia kishabiki kuliko kuangalia business contraversal ya kuiga jina la biashara ya mtu ili hali na wewe ni mfanyabishara.
Yani mnachobishina ni kituko ni sawa iwepo george cement halafu mimi nijiite george we unaona hapo kuna tatizo?
Dangote siyo jina la kutengeneza kama ilivyo kwa iphone au toyota bali ni jina la kibantu aa watu huko west africa.
Na kwa tanzania brand name ni dangote cement siyo dangote.
 
Kumbuka Dangote ni jina la kampuni iliyosajiriwa Tanzania, na brand na ni brand name ya bidhaa ya Cement inayozalishwa na kampuni hiyo ya Dangote.

Man ndio maana nikasema a.k.a hazina tatizo lolote. Labda angetumia kama Official brand name hapo labda tungekuwa na jambo la kujadili. Hata wewe ukijiita a.k.a Safari Lager hakuna atakayekubughuzi.
 

Badala ya kukuza jina lako unajiita dangote kama sio mwanzo wa upunga ni nini
 
hii habari ni nyingine, na ina mashiko, kaianzishie uzi utapata majibu kutoka kwa wataalamu wa uchambuzi
 
kwa hiyo Mohamed trans awashitaki wanaojiita Mohamed?
 
Kuna Yule mwingine alijita Savimbi...yule ndio alinichefua kabisa
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Mkuu kuwa serious kidogo dangote si jina tu kama mwanaidi au chausiku.....basi ingekua hivyo kila mtu angekua na jina lake unique duniani.

Sijui makampuni ya dangote yanaitwaje. Let's say yanaitwa dangote LLC, Chibu angeanzisha kampuni yake na kuiita hivyo ingekuwa kokoro.

Sijui kama kuna copyright ya jina. Ila kuna copyright ya brand name.
 
 
Simba sports club
Simba cement
Simba (Jam ya kupaka mikate)
Simba (baking powder)

Chibu Dangote
Aliko Dangote

Afu nikutoe tongotongo kuwa huyo anayeitwa chibu dangote ni aka na siyo official name (hawezi kuingia mkataba afu akaandika hilo bali ni DIAMOND PLATNUMZ) Hiyo ni aka kama anavyojiita Simbaa, Vampire, D billions, Mondi bin awards, Mzee wa hat trick, nk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…