IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Ila ina maana wewe kuzungumzia mtoto asiyekuhusu .................... ???? ( Nadhani jibu lako utaambatanisha na DNA ya huyo unayemuita Baba yako ukifanya hivo utakuwa mfano wa kuigwa si tu na DIAMOND bali na watz na dunia kwa ujumla )haina maana kama mtoto ana mkwanja na kiki wakati sio wa kwako....
True, with population of more than 180+ million, Nigeria is everything in Africa.kumbe Nigeria ndo kila kitu ukijulikana kule we ni super worldwide, another input hii
Mkuu McDonaldJr hapo juu nimeiweka video waweza kuingalia kwa nini aliongelea hayo mambo ya magari na viwanja na nyumba,pia swala la ugumba mwanzo wake ni mimba ya Zari, lakini pia yeye mwenyewe huyo anayeitwa mgumba alishasema kuwa aliangaika sana na DIAMOND kupata mtoto lakini ilishindikana lakini DIAMOND hajawahi kusema hiko kitu.Haaa haaa hawa celebs wetu inabidi waandikiwe speech kabla hawajaenda kwenye mahojiano sijaona sababu ya kuongelea pesa,nyumba na magari maana ni kama anawashambulia watu fulani ambao nao watafuta point of weakness kwake ambayo ni uyo mtoto wake maana kunangwa lazima usemwe litakalo kukera.
Busara angevunga tu maisha yakaendelea kuliko uenyeji anaoundeleza naamini anajua kua hakuna wa kulaumiwa maana pande zote zinaongea shombo ila yeye anatafuta huruma ya jamii kisa mtoto anajisahau washaita wenzao wagumba na wauza P mtaani,acha tuongeza popcorn tuwaone mwisho wao.
Ndio kuwa na gari ni mafanikio ( kiuhalisia huwezi kununua gari wakati unalia njaa au unalala kwa shida ) Kweli mtoto mdogo kuwa maarufu si salama hasa ukizingatia kuna wanaomzungumzia vibaya kila siku.Kuwa na.magari ni mafaniko?
Mtoto mdogo kuwa maarufu ni usalama?
Interview nimeisikia jana yote,ninachosema kua na yeye karusha jiwe tena kwa upande wa pili kwa kusema kawakuta kwenye sanaa na kawazidi mafanikio,simply na upande wa pili watarusha jiwe la DNA ambalo litamkera hata kama angeamua kijibu angechagua maneno au angepiga kimya maana alichofanya amezima moto kwa petroliMkuu McDonaldJr hapo juu nimeiweka video waweza kuingalia kwa nini aliongelea hayo mambo ya magari na viwanja na nyumba,pia swala la ugumba mwanzo wake ni mimba ya Zari, lakini pia yeye mwenyewe huyo anayeitwa mgumba alishasema kuwa aliangaika sana na DIAMOND kupata mtoto lakini ilishindikana lakini DIAMOND hajawahi kusema hiko kitu.
mkuu ulikua unajaribu kuandika nini?Kuwa na.magari ni mafaniko?
Mtoto mdogo kuwa maarufu ni usalama?
Watanzania wana Reasoning? Walisema Bushoke na Marlaw wamefulia kwa sababu ya CCM, and yet here is Diamond na hawa uliowataja. Hakupimaje mizani?hao waliimbia ccm huyu alikuwa kama bulembo hakupima mizani ya alicho kifanya,mbona joh makini alisha ikampenia ccm lakini wana ukawa wana mfeel Alikiba pia,wale yamoto sasa watu kumdiss kuhusu ccm there is a reason behind alikuwa zaidi ya mtumbuizaji kwenye kampeni
I second you!Jamaa kama kapanic hivi, mi nashauri angekaa kimya wanaokusema wenyewe wangeona umewapuuza wangetulia, sasa ukijibu hivi ndo watakusema zaidi maana wameshajua unaumia wakimsema Tiffah, na hilo ndo lengo lao kuu kukunyima raha wewe
Hivi hata km mtt sio wa Mondi kinawauma nin?...au ndo kumuwaza tu #Simba!!!
Kwani wenye lengo baya nae ndio wangekosa cha kusema................. si kama wanavyomsema mtoto ambaye hajui lolote au unataka kusema yule mtoto nae kuna neno kawachokoza ....................................????????Interview nimeisikia jana yote,ninachosema kua na yeye karusha jiwe tena kwa upande wa pili kwa kusema kawakuta kwenye sanaa na kawazidi mafanikio,simply na upande wa pili watarusha jiwe la DNA ambalo litamkera hata kama angeamua kijibu angechagua maneno au angepiga kimya maana alichofanya amezima moto kwa petroli