Diamond hawiki Clouds fm bali wasanii wa Fiesta



Fungua Redio yako uzipige usipangie watu wewe unachokitaka
 
Labda ungeangalia mikataba Yao inasemaje...??
 
Mi naona ni wivu tu wa ruge kwa sababu diamond amemzidi pesa ruge, nasema ruge sio jtajiri koseph kusaga. haiwezekani manfongo awe anakubalika clouds fm kuliko king of east africa i mean diamond platnumz
 
Ile ni taasisi binafsi na wana uhuru wa kufanya mambo wanavyotaka wao.
Wana-mpromote mtu atae perfom kwenye show zao, kwa nn wampe promo mtu ambae hausiki na biashara yao.
Hakuna biashara ya hvo, hata ungekua ww huwez kuipa promo ya nguvu bidhaa ambayo haufaidiki nayo.
 
Fiesta Dar, napendekeza hawa jamaa kiba na mond wasusie lishow lao hilo!
Wote hawatakuwepo dar siku hiyo mmoja atakuwa mwanza mwingine Ana mkataba na vodacom na tigo inadhamini fiesta so wote hawatakuwepo siku hiyo
 
Sasa radio imejaa kina elton john mpaka wengine wanajitongozesha kwa harmonise unategemea watapiga nyimbo za wcb...... Kitu EATV and Radio au E-fm, kiss
Radio Ina ukabila ile (uchaga) Kama ni chaga fm
 

kiukweli umeongea point, kumbe clouds inawatumia wasanii kwa maslai yao. na ndo maana wanambania diamond kwa sababu hapigi show zao za laki saba saba za fiesta, kumbe, aise bora hata radio ya regnald mengi. embu ngoja tuone kama diamond atakuwa kama komando jide yani lady jay dee.
 
Mwambie Sallam Fiesta ya Dar asikose kuwepo Back Stage na akikishe anazima mic zote ili kuwakomoa
 
Clouds Fm ni kituo binafsi cha radio hua nashindwa ku-link lawama kinachopewa na aina yao ya biashara. Mmesahau kua hawa ni wafanyabiashara? Na hili ni soko huria? Tz ina radio stations ngapi? why kuilaumu clouds tu? Wakikosa promotion hapo si waende radio nyingine? Kwani lazima hapo hapo nyie ndo mnawapaga kiki hawa jamaa . kila kukicha clouds clouds hatulali agggrrr!!
 
Kuna Kale KaNandy Sijui Yani Nyimbo Inapigwa Power Breakfast,Leo Tena,Xxl,Jahazi,Millard Ayo,Na Diva Saa 4.
Naona Wanampandisha Azibe Gepu La Ruby.
Ila Ni Too Much.
 
Cloudz wanafanya biashara. WCB mmeanza ulalamishi lini kama majirani?
 
Diamond anamkataba na vodacom hawez ingia fiesta ambayo wadhaman wakubwa ni tiGo
 
Mkuuu wewe ni rugee nini..?mbona povu sanaa..
 
Ndo ujiulize kwann kiba AJE yupo nafas ya 18 wiki 20 ndan ya top 20 halfu mond KIDOGO nafas ya 17 wiki 8 kene chart afu ukipata njoo nkupe jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…