Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

Yaani unavyoongea utafikiri umeona kabisa hiyo memorandum ya kampuni ya Wasafi Tv, kumbe mpuuzi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo adhabu anapewa na Diamond? Wako wapi wanawake aliowanunulia bia enzi za ujana wake, awatafute wamrudishie chenji.

And women are not devils. b[I'm sure there are milions of devils out there with dicks]

😁😁
 
Diamond akija kuzeeka nae atakuwa analalamika wanae wamemtosa hawamjali wanaangalia mama zao tu.... mwendelezo wa laana ya vizazi!
 
Mzee wa comments fupifupi za kukera leo umeandika comment ndefu Kwa mara ya Kwanza ..
 
Nilichogundua modi anasubili huyu mzee afe ili tuanze kusikia oh mzee wangu nilikua nampenda oh hatukua na tofauti uongo mtupu Mondi wewe unapesa mjali baba kumbuka maisha ni kupanda na kushuka pia ujue hakuna baba mwingine ni huyo huyo usijichumie zambi za bule
 
Kumbe anababa mwingine....leo mambo hadharani
 
Leo mambo hadharani, Mondi sio mtoto wa mzee Abdul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…