'Diamond I am ready to start a project with you’ - Msichana Kenya

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Licha ya kuwa ni msichana mrembo, tajiri na apparently akitarajia kumpa mtoto Diamond, Zari Tlale aka The Bosslady anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka wasichana wengi Afrika Mashariki wenye ndoto za kuwa wapenzi wa hitmaker huyo wa ‘Number One'.

Msichana wa Kenya aitwaye Tiara ameanzisha kampeni Youtube kutaka kufikisha ujumbe wake kwa Diamond. Jana, Tiara ameupload video ya picha za utata akiwa kwenye Jacuzzi na kuziandikia ujumbe maalum kwa staa huyo.

"And this is my story, and forget about Wema and Zari focus on this," ameandika Tiara.

"I want you, join me to play with me to tap this a*s, to scratch my back and I am ready to start a project with you, let the bitches talk, I don't mind."

"Wish I was doing this with you, hold this smiling like a queen; and here seated as a bawse striking a pawss. I sleep waiting to hear from you to tap this ass."

Picha hizo zinaoneshwa kupigwa January 24, 2015.


[video=youtube_share;MQ7Cl1bmQZU]http://youtu.be/MQ7Cl1bmQZU[/video]
 
Huyo aliyesema maneno hayo yuko wapi sasa. Au ndio wewe unajipigia debe? Samahani kama wewe ni mwanaume!
 
Daimond atawala mno na hivi hana hiana kapewa bure na Mungu alaaaa Daimond warambisheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyo nae ni ----- kama walivyo ----- wengine tu
 
Hahahhahah makubwaa tatizo nyotaa,@ mamaafacebook come this way dear
 
Hivi jamaa wanampendea pesa au umaarufu..???
 
Basi ilikua maarufuu ikalipita jina halisi....

jina langu halisi la baba walishindwa kulitamka wakalifupisha ndiyo akapatikana hiyo nick name.....basi mpaka leo kila nikijaribu kuliua nick name nashindwa......dah imebidi nilikubali tu.....
 
Project ya zari imebumaaa(PNC voice)nashangaa management yake walikubali vp dogo amdate couger(kibibi)mastar kibao mtoni waliotoka na vibibi walipotea mara moja...diamondo toa ngoma bila ya kick za mademu tutakusahau mara moja....mr nice part 2
 
Mh kizazi cha nyoka hiki! tulizoea wanaume ndo tunatongoza nakumbuka hakuna simu unapita kwa demu nyumbani kwao unarusha kijiwe juu ya bati bint anajua thanks magonjwa kama pressure hayakuwa mengi tungewamaliza wazee wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…