Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Diamond-Platnumz.jpg


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz leo Julai 7, 2018 amesema kuwa endapo itatokea kesho akaaga dunia basi nusu ya mali zake zitachukuliwa na mama yake mzazi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond amesema mama yake amepitia magumu mengi sana ikiwemo manyanyaso wakati akimlea hivyo hakuna mtu wa kumlinganisha na mama yake.

Nasikitikaga sana Wanapojaribu Kulinganisha Thamani yako kwangu na Mtu yoyote…
Na kusahau kuwa pasipo wewe kunizaa na Kunilea kwa shida na tabu leo hii hakuna yoyote ambae angeniona wamaana.

Ikiwa wewe ndio Ulonifanya mie nikawa Duniani Basi you will always be My First priority then the rest will follow.
Dharau na Manyanyaso Ulopitia kwenye kunilea Hakuna anayejua, Tabu na shida Ulizopitia kufanya hadi leo walau nionekane mtu mbele za watu..

Eti mtu kirahisi tu anatokea na kukuringanisha na mtu.
Mama MADALE is your House!!!
Na ikitokea kesho nimekufa pia NUSU ya Mali zangu zote ni zako.

“ameandika Diamond Platnumz.

Mwanao Napambana Usiku na Mchana Kwanza kwajili yako, Walau Ujifariji kwa Magumu Ulopitia kwa kunilea kwangu, I want you to Enjoy the life as Much as You can, Maana sina cha kukulipa zaidi ya Hicho."

Leo ni siku ya kuzaliwa ya mama yake Diamond.

Source: Bongo5
 
Asimusahau pia mdogo wake dogo skide.

Maisha ni kutisha, na sio kutishana.
Platnumz Mtoto wa tandale endelea vunja vunja mifupa kama meno bado ipo...Maisha matamu lakini mafupi.
 
Back
Top Bottom