Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Amesha jiumbia kwamba yeye atakufa kabla ya mama yake walahi!
Hatareee sana!
 
Aandike wosia kwa mwanasheria - haya matangazo ya kwenye mitandao ya kijamii, japo yanampatia followers wengi, hayana impact yoyote kwa mustakabali wa mali zake atakapkuwa amekufa.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Nje ya... Kabla ya...
Vivyo hivyo Kati ya zinaa na uasherati.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Nje ya... Kabla ya...
Vivyo hivyo Kati ya zinaa na uasherati.
Nje ya.... na Kabla ya... Linapokuja suala la ndoa na mtoto huwa zinatumika interchangeably, sasa unaposema mtoto aliyezaliwa kabla ya ndoa ni sawa tu na kusema mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa.
 
ameshajua kuwa nani atatangulia kufa kati yake yeye na mama yake?
ila ki ben ten kitafaidi sanaaa
 
Ndo maana baba mdogo kamganda mamake,watu kwa kuchungulia fursa kama wachawa,bahati imenipita wapi mimi
 
Mke sio ndugu yako wala hana uhusiano wowote wa damu

My first priorities

My mother

My kids

My brothers

Mu sisters

Damu nzito kuliko maji
Mke sio ndugu angekua ndugu asingekua mke...hio brother and sisterhood inaletwa na mke na mume

Mke ana nafasi yake, familia ina nafasi yake

Mtu wa kuishi nae for more than half of your life chumba kimoja...ni zaidi ya ndugu...chunga kauli zako
 
Nje ya.... na Kabla ya... Linapokuja suala la ndoa na mtoto huwa zinatumika interchangeably, sasa unaposema mtoto aliyezaliwa kabla ya ndoa ni sawa tu na kusema mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa.
Nje ya ndoa ipi?
Kwa nijuavyo Diamond hajawahi funga ndoa.
 
Kijana furaha ya Mama yako haitapatikana kwa uwapo wa mali. Mpe muda wako na wa watu wanaokuzunguka katika maisha yako mama yako. Na muheshimu muda wote na hii ni pamoja na wajukuu zake kutambua hilo.
Mali haijawahi kumpatia mtu furaha ya milele
 
Kuna watu hawana mila na desturi ..
Sio busara kutaja warithi hadharani , kimsingi hata walio kwenye list ya wosia wako hawatakiwi kujua hadi pale umefariki ....
sasa fikiria not being offensive wale ambao wanajiona wanastahiki alafu hujawaweka ....au ambao umewaweka wakaharakisha kifo chako ili warithi ......
Mama yako anaweza kukupenda sana lakini akawa na " kijibwana " ambacho kinajuwa ukifa maama anachukua mzigo alafu yeye ndio anakamata ufunguo .....na kumshikia kichwa aziuze zote
 
Mke sio ndugu angekua ndugu asingekua mke...hio brother and sisterhood inaletwa na mke na mume

Mke ana nafasi yake, familia ina nafasi yake

Mtu wa kuishi nae for more than half of your life chumba kimoja...ni zaidi ya ndugu...chunga kauli zako
Tena mke/mume ni mwili mmoja na wewe, your other half. Nashangaa mtu anayemchukulia mke/mume kama mtu baki
 
Tena mke/mume ni mwili mmoja na wewe, your other half. Nashangaa mtu anayemchukulia mke/mume kama mtu baki
Mke/mume sio mchezo ndo mana ni muhimu kuchagua

Diamond kumthamini mama kuliko mke ni madhara ya kulelewa na mzazi mmoja...Baba yake hakumthamini mke yeye atajifunzia wapi

Kukua kwenye familia zenye wazazi wote wawili kunaleta balance
 
Mke sio ndugu yako wala hana uhusiano wowote wa damu

My first priorities

My mother

My kids

My brothers

Mu sisters

Damu nzito kuliko maji
Kwa mtiririko huu ni ngumu sana uwe na ndoa ya furaha..mkeo aweza kua kakuweka no 1 ila wewe utamuangusha..eventually she gets bitter na wewe hutoifurahia pia
 
Kwa mtiririko huu ni ngumu sana uwe na ndoa ya furaha..mkeo aweza kua kakuweka no 1 ila wewe utamuangusha..eventually she gets bitter na wewe hutoifurahia pia
Hehehehehehe I don't trust women
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…