Diamond imebaki sasa ufanye ivi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,234
Aisee Diamond Platinumz hebu sasa nunua dege ili tujue moja, na wabaya wako wakome!

Wote mmekosa...si James Brown huyo...ni marehemu James Brown, RIP the 'Legend'!
Ata na wewe umekosea, tena vibaya sana. James Brown hajafa. Long live James Brown, long live the funk!
 
James Brown one of the founding fathers of funk music amefariki tangu mwaka 2006 mwishoni. Roulette thanx ngoja nitafute hizo nyimbo kwenye folder la funk hapa kwenye kamashine kangu nikumbuke zamani.
 
Last edited by a moderator:
HUJIELEWI WEWE.

Wewe ray05 mbona unakurupuka na kufurukuta, kisa haswa ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ray05 mbona unakurupuka na kufurukuta, kisa haswa ni nini?

Umesema hajafa ulikuwa na maana gani? Kama una maana mziki wake of course upo na utaendelea kuwepo but the man himself ametutoka siku nyingi.
Sorry kama nimetumia lugha mbaya,nimefuta kauli yangu mheshimiwa.
 
Last edited by a moderator:
Umesema hajafa ulikuwa na maana gani? Kama una maana mziki wake of course upo na utaendelea kuwepo but the man himself ametutoka siku nyingi.
Sorry kama nimetumia lugha mbaya,nimefuta kauli yangu mheshimiwa.
Ni hivyo ndio nilivyomaanisha. Pasaka njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…