Diamond: Joh Makini ndio mwana hip hop ninaemuheshimu zaidi bongo

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Akiongea kwenye kituo cha radio cha magic fm mziki wa hip hop bongo ni mgumu hasa kwenye maslahi ndo maana anamueshimu sana joh makini
Diamond" wakati mimi sijatoka nauza mafuta sheli nilikuwa namsikia joh makini ndo anatoka na nyimbo yake ya Hao na jamaa hadi leo hajawahi kushuka kimuziki hasa ukizingatia mziki wa hip hop apa bongo haulipi, wasanii wa hip hop wanapata shida sana kwenye maslahi ndo maana huwezi ona wajipiga hatua kubwa kama sananii wa kuimba,

Mfano wasanii wengi wa hip hop ukiona wanapiga show ya kujaza eneo kubwa ujue ni show za wasanii wengi kama fiesta.

Aliendelea " ukiacha kundi la WEUSI hakuna wasanii wengine wa hip hop anaeweza kundaa show na kujaza uwanja mwenyewe huo ndo ukweli kuna misingi hapa bongo imekosekana kama south africa ili kufanya hip hop kuwa kubwa, bongo kuna wasanii wakali sana wana mashairi makali mfano mimi huwa nawasikiliza sterio, nikki mbishi, fid q, nikki wa pili na wengine kabao .

Wasanii wengi wa bongo wa hip hop wanaivest pesa kubwa kwenye video za hip hop lakini wengi gharama zao hazirudi ndo maana mimi namueshimu sana Joh makini ukingatia anajitaidi sana kuupandisha mziki wa hip hop kuwa na hadhi kubwa na manufaa hata usinufaika yeye sana wapo wanahip hop wajao watanufaika.
 
Kweli kabisa inauma , kuona waimbaji kama Jide kujaza ukumbi popote aendapo kufanya show ( hata pale mliman city ) lakini hakuna mwana hip pop anayeweza fanya hivyo.....

kipindi cha nyuma Roma alikuwa na uwezo huo wa kujaza sijui kawaje sasa !
 
Ukiona muziki haupendwi na wanawake huwezi jaza ukumbi....Wanaume wengi wanaenda ukumbini kutafuta wanawake
Naked truth yaani wanawake ndo wateja wakubwa wa music ukiwapata tu umejihakikishia soko
 
Mziki wowote ambao mtu haendi na mkewe au gf hauwezi kukulipa haswa hapa TZ...
utapata wanafunzi tu wa vyuo a buku 3 zao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…