Diamond kafa kaoza kwa Zuchu. Amwambia 'Sijawahi kupenda kama ninavyokupenda' kwenye ujumbe wa Valentine

Diamond kafa kaoza kwa Zuchu. Amwambia 'Sijawahi kupenda kama ninavyokupenda' kwenye ujumbe wa Valentine

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni.

Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao

diamond zu.png
 
Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao

1739528596862.png
 
Kama nakuona shoga ake Zuchu ulivyofurahi!
Yaani kama nakuona vile ulivyokuwa unarusha ngumi hewani kufurahia hii habari njema kwenu.
 
Back
Top Bottom