Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
952
Reaction score
1,874
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.

Mobeto.jpg
 
Mwanamke anayeweza kuexpose picha na msgs zako kwenye jamii kwa nia yeyote ile HAFAI kua mke!

Umesema kuna wenye hela kumzidi Diamond, Ila hajawa nao NI KWELI, lakini kila Mguu unakiatu cha size yake na kila Malaya anabei yake NUKTA
 
inahitaji moyo sana kuoa mtu mwenye mtoto.... kuna uwezekano mkubwa sana akawa akakucheat
 
Back
Top Bottom