ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,874
Hivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
hajawa tyr kwa maisha ya ndoa siku akiwa tyr ataoa ...kuna vjn kibao waliomzid umri diamond na hawajaoa mpk ssHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
Acha kuwaza ushirikinaHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
Swali la msingi kupata kutokea jf[emoji23]Aiseee kwann dai na sio majizo? Kumbuka hamisa ana watoto wawili baba tofauti so kama katulia kwann aliachwa na majizo?
Atapata wa size yake tuNumbisa KUACHWA NA MAJIZO HAIMAANISH KUWA HAMISA HAJATULIA. LABDA MAJIZO MFUNUAJ TU
nimeuliza tu sijawaza ushirikinaAcha kuwaza ushirikina
anhaa kumbe basi sawahajawa tyr kwa maisha ya ndoa siku akiwa tyr ataoa ...kuna vjn kibao waliomzid umri diamond na hawajaoa mpk ss
Muda badoMkuu wewe umeoa? Kama bado umepewa shart na nani? Nini kinakuzuia kuoa?