Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,501 Feb 18, 2012 #21 Belo said: Jana nimemuona Diamond na demu mmoja mfupi wamekumbatiana pale Airport walikuwa wameshikana nika-comfirm kuwa Wema kishapigwa kibuti Click to expand... kushikana na mtu au kukumbatiana haimaanishi kuwa ndio bibi yake, anaweza akawa rafiki tu
Belo said: Jana nimemuona Diamond na demu mmoja mfupi wamekumbatiana pale Airport walikuwa wameshikana nika-comfirm kuwa Wema kishapigwa kibuti Click to expand... kushikana na mtu au kukumbatiana haimaanishi kuwa ndio bibi yake, anaweza akawa rafiki tu
L LIFE OWNER Member Joined Feb 17, 2012 Posts 64 Reaction score 0 Feb 19, 2012 #22 Mademu wanampendea ule mdomo umekaa kama chai jaba.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Feb 19, 2012 #23 Bora alivyoa kama kweli....
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Feb 19, 2012 #24 Saint Ivuga said: anawamega mega tu dada zetu. Click to expand... kumbe dada ako kamegwa, ulitaka nani ammege?
Saint Ivuga said: anawamega mega tu dada zetu. Click to expand... kumbe dada ako kamegwa, ulitaka nani ammege?