Huo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.
Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Heading inazungumzia Diamond kupata deal na serikali ya SA,Huo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.
Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Ww usipo nunua mm ninanunua na wengine wengi kama mm alikiba ajui kitu ni boya kama ww tu unayemshabikia unatumia nguvu nyingi kupambana na wcb ili upate umarufu atugawi kiki tena ili kujua huyo unayemshabikia yupo levo ya chini sana kimziki ngoja video ya huu wimbo niambie itoke kama ajaipita aje rmx view mbaliHuo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.
Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Tatizo anatafuta kiki yeye aipendi wcb anampenda kibakuli kwenye post za wcb anafuata nn kama siyo kikiHuyo mzaramo ni ANTI-WCB kila kitu anapinga, basi soma kichwa cha habari ulewe, ujue ndio maana watu wengine wanafeli mtihani si kwa sababu hawajui bali hawajasoma kichwa cha habari . Alafu yy mwenyewe anajiita die hard fan wa kiba, sasa bila kumsapoti kwa nunua kazi zake si mnamtia umasikini, tusiifanye sanaa yetu iwe ya kutengeneza MASUPASTAA MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA, tuache kupenda mtelezo support msanii wako.
Huyo anashindana na Role Model wake.Ww usipo nunua mm ninanunua na wengine wengi kama mm alikiba ajui kitu ni boya kama ww tu unayemshabikia unatumia nguvu nyingi kupambana na wcb ili upate umarufu atugawi kiki tena ili kujua huyo unayemshabikia yupo levo ya chini sana kimziki ngoja video ya huu wimbo niambie itoke kama ajaipita aje rmx view mbali
Acha muhemko.Huyo mzaramo ni ANTI-WCB kila kitu anapinga, basi soma kichwa cha habari ulewe, ujue ndio maana watu wengine wanafeli mtihani si kwa sababu hawajui bali hawajasoma kichwa cha habari . Alafu yy mwenyewe anajiita die hard fan wa kiba, sasa bila kumsapoti kwa nunua kazi zake si mnamtia umasikini, tusiifanye sanaa yetu iwe ya kutengeneza MASUPASTAA MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA, tuache kupenda mtelezo support msanii wako.
Relax mkuu.Duh, the strugle is real! Bro get a life stop hating so much. Unawachukia watu kama wamekuchukulia kibarua chako. Sasa hata wasipofanikiwa wewe unaweza kuchukua nafasi zao?
Bradha...Huo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.
Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Relax mkuu.
Nilikuwa najaribu kuwashauri wajitaidii kuzuia hiyo kitu.....wamefanya kazi kubwa kufungua website alafu hawa jamaa wa Blogs wanaigawa ngoma bure.
Inabidi wafanye kitu kuzuia....Niliumizwa sana Nyimbo zote kutoka kwenye Albamu ya Navy Kenzo zilivyotapakaa kwenye blogs.
Yoteyote wasipofanikiwa HarmoRapa atachukua nafasi yao ahaaaaa ahaaaaa
wamepata watu wengi ila mm ninayemtazama hapo ni mmoja tu mondi ata wengepata wasanii wote Tanzania mm ningemmulika mondi tuMtoa mada wkt mwingine uwe unajipanga kwa kuleta nondo zenye uimara wa lami.Dili hili la kutangaza utalii wa SA walipata watu mob sana hapa bongo.Masoud kipanya Na Babra Hassan kupitia CMG group,Ben Paul,V Money,Nareal wa the industry pamoja na Mond mwenyewe.sasa unakuja na ngonjera zako hapa.Kumbuka wiki mbili mfululizo Masoud Na Babra walisafirishwa hadi SA kutembelea vivutio vya utalii na kuripoti.
Jipange tena.