othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Jan 8, 2018 #1 Wanajamvi, anayejua materials yaliyotumika kutengenezea diamond karanga aje atueleze hapa.
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Jan 8, 2018 Thread starter #2 Kiukweli Leo nimekula hizi wanazoita sijui diamond karanga hazina radha kabisa ya karanga halisi, muhusika aje atueleze hii ni nini kiliko kutuambia kuwa ni diamond karanga.
Kiukweli Leo nimekula hizi wanazoita sijui diamond karanga hazina radha kabisa ya karanga halisi, muhusika aje atueleze hii ni nini kiliko kutuambia kuwa ni diamond karanga.