good video... imenikumbusha ile Mr. Chocolate flavorahhh we hii pini matata acha haters wachonge.. dogo yupo juu!
Tena aanzie na Owner wa Long room night Club... Mr Nice...Ajipange kimaisha sasa siyo wema tu itakula kwake wengi walishine sana wakaendekeza starehe na anasa sasa hivi tabu tupu so ajifunze kutokana na makosa ya wenzake
Jamani,mwenzetu ameomba nyimbo,maisha binafsi ya Dimond yanahusu nini???kama ni maisha yake anzisheni thread ya kumshauri,
Kwa kifupi,bwana mdogo yuko straight up,anafanya maisha na muziki ki ukweli,mi siyo shabiki wake sana,lakini kama jirani yake naamini ana
kitu kinachomfanya hata Wema ajibanze kwake,keep it up Bwana mdogo D..........................................
Haya maneno yaliandikwa 2012 lakini huyo Diamond bado anadunda halafu wewe uliyecomment bado upo kwa shemeji yako DarNgono na usharobaro vimeshusha jina na sifa zake....atachoka siku si nyingi we ngoja utakuta kama mwenzie wema...mitaani.