Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
kivipi?Mawazo ya kiswahili...
sawaUmepuyanga
kwa nini mkuu?Nadhani huu wimbo hautapata airtime ndani ya mawingu fm.
wapi niliposema asisaidiwe?Mawazo ya kimasikini, mtu ana uwezo wa kuimba usimsaidie kwa sababu atakupita, upuuzi mtupu na ndio maana platnumz hana hayo mawazo kama yenu na ndio maana anafanikiwa, kwa sababu ya kuwanyanyua wenzake.
Kwanini haitapigwa mawingu fm
sikio halizidi kichwa!
kamwe Korede Bello hawezi kumzidi Don Jazzy...
mzazi ni mzazi tu!
Mmhmm ilo nalo neno lkn..Mbona lil wayne amemzidi bird man?????
Samahani lakini
Uikumbuke Na ile Remix Ya all The Way Up !Baba la baba diamond platnumz chibu dangote simba kaza mdogo wangu huyu kijana rayyvann anakuja kwa kasi sana
Ingawa ni kitu kizuri kuona kijana anazidi kufanikiwa tena isitoshe yupo katika lebel yako ila nakusihi mdogo wangu huyu dogo atakuvua nguo huko mbeleni usipokuwa makini utaonekana si chochote mbele yake ,kaza kamba sana toa mawe ya kueleweka zaidi
Kijana kafanya vizuri sana katika ngoma yake ya Sugu nina imani na wewe pia utakuwa hujaniangusha katika ngoma yako na Richard mavoko
Kwa leo yangu ndo hayo tu ni mimi shabiki wako nambari moko peninsula xavier dos santos from mpumalanga