screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Ushawahi kujiuliza kama mimi kwanini kila Diamond akifanya collabo na Lavalava lazima baada ya mda mfupi atapandishia ngoma yake kali na kuipigia promo la hatari, na hiyo ngoma aliyoshirikishwa haipi promo kama akishirikiana na Mbosso ama Zuchu. Au Lavalava ni mtoto wa Kambo?