Loh! 😂😂Au Lavalava ni mtoto wa Kambo?
Kwa hiyo unatakaje?Ushawahi kujiuliza kama mimi kwanini kila Diamond akifanya collabo na Lavalava lazima baada ya mda mfupi atapandishia ngoma yake kali na kuipigia promo la hatari, na hiyo ngoma aliyoshirikishwa haipi promo kama akishirikiana na Mbosso ama Zuchu. Au Lavalava ni mtoto wa Kambo?
😂😂😂😂😂😂Nimechekaa sana 😂😂😂🙌🙌🙌🙌Tuambie lavalava ni nani wako?
Kuna uzi wako wenye kichwa kinasema;
"Hivi wasafi wana mpango gani na lavalava"
Huu ndio ukweli?Au Lavalava ni mtoto wa Kambo?