Diamond kila siku anatoa nyimbo mpya anazitoa wapi

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya Kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
 
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Huyo anaitwa GENIUS DIAMOND BABA LAO,HAKUNA NA HATATOKEA MSANII ZAIDI YAKE TANZANIA TANGIA KO UMUACHE MAWINGU,HARMONIZE NA AJUZAKIBA WAMESHINDWA KO TUMUACHE ALE PESA.
 
Wewe sio HaterS

Anatungiwa, na studio ni ya kwake, kwa hiyo anatoa nyimbo anavyotaka, ikiwemo nyimbo za ajabu ajabu mfano baba lao
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
 
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
anatungiwa na harmonize
 
Hata Pishi la wali halihitaji moto mwingi

Ni kwasababu aina ya mziki anaoimba hauhitaji kuumiza kichwa

Vile vile na aina ya mashabiki wanaompenda, unajua ukimpenda sana mtu hata akikosea huwezi kujua na yeye hawezi kuelewa kwasababu atakuona umefurahi kama siku zote. Na ndio maana hata akiimba "eeeh eeh ehh eeeh eeeehee heeee!" washabiki watapenda

Yaani zile nyimbo ambazo tulikua tunaimba kipindi tunacheza kombolela utotoni zile za "alimselema hadija" bado zinapachikwa kwenye mziki wa kidijitari huu kwa lengo la kuukuza mziki

Kwa uimbaji wa namna hiyo jamaa anauwezo hata wa kutoa bingo tatu tatu kwa siku
 
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Anaiba kwa King Music
 
Back
Top Bottom