Diamond kuanzisha Tamasha lake la Fiesta

Diamond kuanzisha Tamasha lake la Fiesta

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz amepanga kuanzisha tamasha lake litaloitwa Wasafi Festival ambalo inatarajiwa litakuwa tamasha pinzani na lile la fiesta linaloendeshwaga na Clouds media kila mwaka.

Kila la Heri Dogo Nassibu.

Duh!! Mwendo mpera mpera. Itakua poa sana kukiwa na ushindani.
 
Akitaka afanikiwe aangalie swala la maslahi ya wasanik yaliyokuwa yanalalamikiwa kwenye fiesta za mawingu...halafu alirekebishe
 
Akitaka afanikiwe aangalie swala la maslahi ya wasanik yaliyokuwa yanalalamikiwa kwenye fiesta za mawingu...halafu alirekebishe
Kabisa cha msingi ni kufanyia kazi mapunguzu aliyoyaona ili kwenda sawa kiushindani
 
Back
Top Bottom