Diamond kufanya kolabo na Mohombi

Diamond kufanya kolabo na Mohombi

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii Diamond atafanya kolabo na msanii Mohombi, hii ni baada ya kukutana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika juzi


 
Daah uyu ndomnyama dadeq mbona mwana anatoboa kisee,,,,,, hahahaa safi sana kijana tunakuona
 
Ni MOHOMBI huyu aliyepiga collabo na STL Wa Kenya ama ni mwingine?
 
Back
Top Bottom