AVO28
Senior Member
- Jan 4, 2018
- 140
- 240
Jana niliskia kua Msanii Diamond amepenga kujenga msikiti mkubwa tu hapo tandale na kwamba amenunua uwanja mkubwa sana hapo tandale na kama haitoshi wakasema kua amepanga kuigeuza Tandale kua saudia..
Sasa nikawa najiuliza kama story hizo ni za kweli, masheikh wataukubali huo msikiti hali ya kua hapo nyuma kidogo kuna sheikh mkubwa tu aliwah kusema "Diamond sio muislamu kwakua anavaa misalaba na nyimbo zake ni za kishetani"
sasa leo anakwenda kujenga msikiti mkubwa sana pale tandale je wataupokea? Na kama wakiupokea watabaki na msimamo ule ule wa kwamba Diamond si Muislamu??