Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

AVO28

Senior Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
140
Reaction score
240
Jana niliskia kua Msanii Diamond amepenga kujenga msikiti mkubwa tu hapo tandale na kwamba amenunua uwanja mkubwa sana hapo tandale na kama haitoshi wakasema kua amepanga kuigeuza Tandale kua saudia..


Sasa nikawa najiuliza kama story hizo ni za kweli, masheikh wataukubali huo msikiti hali ya kua hapo nyuma kidogo kuna sheikh mkubwa tu aliwah kusema "Diamond sio muislamu kwakua anavaa misalaba na nyimbo zake ni za kishetani"

sasa leo anakwenda kujenga msikiti mkubwa sana pale tandale je wataupokea? Na kama wakiupokea watabaki na msimamo ule ule wa kwamba Diamond si Muislamu??
 
Bakwata watapokea tu hawana shida.ila ingekuwa dhehebu lingine angetupiwa mskiti wake km aende nao kwao akawasalishe WCB.ila rafk yake mange ataenda kuuzindua kabisa
 
Hapo ndipo madhehebu yote duniani hubinya break pasipo na sababu ya kukanyanga break.

Dunia hii hela inaongea wakati maneno ya mdomo ni porojo na kelele tupu.

Diamond wewe jenga msikiti baba, wao waupokee au wasiupokee wewe umemaliza kazi yako ya kujenga.

Any way, Diamond Poise, nilitubu basi, niletee 3B ili nami nijenge mjengo wa Kanisa

Haaa haaa haaa teeeh teeeeh teeeh teeeeh.
 
kwani ule wa mwanzo alisha jenga maana hizi story za kujenga msikiti hazijaanza leo na kama alijenga, je alijenga wapi na mtu akisaidia kuweka picha itakuwa vyema
 
Bakwata watapokea tu hawana shida.ila ingekuwa dhehebu lingine angetupiwa mskiti wake km aende nao kwao akawasalishe WCB.ila rafk yake mange ataenda kuuzindua kabisa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ni asilimia moja tu (1%) tu ya viongozi wa dini nchi hii wanaoweza kusimama linapokuja suala la pesa.
 
kwani imeandikwa wapi ukipewa msaada ukatae?au mfano mkristo akasaidia mtu mwislam hapo kuna tatizo?
Dini tuziacheni,kikubwa watu wamjue mungu kupitia huo msikiti,tena ikiwezekana ajenge na kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…