Diamond kumfata Davido nijeria week hii kushoot video ya number 1 remix

Diamond kumfata Davido nijeria week hii kushoot video ya number 1 remix

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Ni tanzania to lagos,skelewu vs ngololo.
Diamond anatalajia kwenda Lagos week hii kuungana na Mwanmziki nguri Davido kishoot video mpya ya remix ya number one waliyoifanya Davido alipokuwa Tanzania..wimbo ni mzuri zaidi ya ule wa kwanza.Davido kasimamia vizuri verse ya kwanza huku akitia vionjo vya kinaija na maneno ya kiswahili(waliokuwepo fiesta watakumbuka..coz waliimba wote japo haukuwa umekamilika)
ni wimbo utakaomweka Diamond kwenye hatua nyingine kabisa kimzik ukizngatia ukubwa wa jina la Davido na wimbo wenyewe tu ulivyo.ndani yake kutachezwa ngololo na skelewu(mtindo wa uchezaji wa davido ilio kwenye wimbo wake unaofanya vizuri sasa)
lakin pia atamalizia audio pamoja na video aliyofanya na msanii mwingne mkubwa nigeria na Africa kwa ujumla..
mashabik wa kweli wa Diamond na davido.kaeni mkao wa kufurahi....
 
haya tunashukuru!! ungekua unapost hivi kila siku mbona ingekuwa shwari!!
 
Back
Top Bottom