Diamond kumpangishia nyumba ya kifahari Meninah

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari mpya zinasema kuwa bado moyo wa Diamond Platnumz umemzimikia msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye figa matata Meninah licha ya wawili hao kukanusha mara kadhaa.

Inadaiwa kuwa Diamond kupitia watu wake wa karibu na wasiri wake anafanya juu chini kumpan gishia Meninah nyumba ya kifahari aidha maeneo ya Mikocheni au Mbezi beach jijini Dar es salaam ili Meninah ajue ni kaisi gani moyo wake hauna hali juu yake na pia kumnunulia gari la kutembelea ili asijisikie vibaya baada ya kumnunulia Wema !

Habari zaidi zinadai kuwa Diamond ambaye umaarufu wake mwaka huu umevuka mipaka ya nchini nyingi bado anaona Meninah anafaa kuwa mke wake kuliko Wema Sepetu, Na kwa mujibu wa vyanzo inadaiwa hata gari alilompa Wema Sepetu kama zawadi hivi karibuni kwenye birthday yake ilikuwa ni kutaka media na wafuatilia mambo ya watu hususani mastaa wanyamaze wakidhani Diamond hapindui wala hapumui kwa Wema Sepetu ila Meninah ndiye anadaiwa kumuweza Diamond ndani ya moyo wake.
 
Attachments

  • 1413285081392.jpg
    57.9 KB · Views: 2,223
Menina atakubali? maana kashasema atampeleka wapi ndomo kwa domo lile,au kafanya upasuaji kurekebisha domo lake? Yetu macho na masikio ila wanachosha na habari zao za kise...nge manyoya.
 
Menina atakubali? maana kashasema atampeleka wapi ndomo kwa domo lile,au kafanya upasuaji kurekebisha domo lake? Yetu macho na masikio ila wanachosha na habari zao za kise...nge manyoya.

Yetu macho binamu
 
Menina atakubali? maana kashasema atampeleka wapi ndomo kwa domo lile,au kafanya upasuaji kurekebisha domo lake? Yetu macho na masikio ila wanachosha na habari zao za kise...nge manyoya.

Yana Mwisho usihofu,time will tell,tuwape mda,wapi papa msofee? Wapi mzee wa kidali poo? Wapi Mahita? Era yao ishapita na wao watapita tu.
 
Lazima kuna wimbo unakuja hii si bure!
 
Menina atakubali? maana kashasema atampeleka wapi ndomo kwa domo lile,au kafanya upasuaji kurekebisha domo lake? Yetu macho na masikio ila wanachosha na habari zao za kise...nge manyoya.

Hahahaa haaaa
Kazi kweli kweli!
 
Team wema chaliii,siwaoni kabisa na sijui kama ikiwa kweli sipatii picha aisee
 
Mi nasubiri ndoa ya uwanja taifa tu, mengine yanipitee miee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…