Hahaha.....amwombe msamaham wema then aende nae!am sure she still want him!
Lugha gan itatumika?
acha ukuadi kwa watu wazima wewe,then usiusemehe moyo wa wengine
yeah.acha kushobokea watu utapgwa cha wima,then mwanga ni wewe mwenyewe p.amb.fuDont i have a right to comment!
Hhaaahhaaa!wewe kweli unamkumbuka naseeb!picco nyingi,mawave na lipshine!halafu alikuwa anarap sasa!sharo kitambo mtandale yule acha awakaze tu wababaikaji!..naye anahonga magari siku hizi kweli kama ipo haizuiliki!big up za kutosha platnamz..you real run ths fkucn town!!...jana nilikuwa half london pande za Sinza nikaskia matusi yako sikuamini kabisa ndio yule nasib ulioletwa kitengo na Dula kitambo kile unapaka ma-pico meeengi kichwani.
Ila usijisahau bwa mdogo na kuwadiss waliokujenga...pia jijenge game ya bonga haina adabu,muulize Tid.
hapa yanaweza kutokea yale ya Kanumba.."am closed" akimaanisha amefunga ramadhani..let's wait n see