Diamond kuperform nyimbo 52 Wasafi festival,Lemutuz athibitisha kushiriki

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mtoto WA Tandale ataperform nyimbo 52.
Baada ya kuvutana sana kuhusu bei hatimaye Lemutuz athibitisha kushiriki.
 
Aisee ntaimiss show ya Lemuz, najua siku hiyo pensi nyanya lazima lihusike. Huyo Hadija Kopa atapata tabu sana.
 
Hii shoo yenu kuanzia Mtwara si ya kitoto mlijipanga.... maana mlianza kutangaza mapema kabla watu hawajapata hela ya Korosho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ