Diamond kutoka Tanzania amechaguliwa kwenye tuzo za dafBAMAAWARDS-2017 katika mitandao ya kijamii.

Hata mi nimeshangaa kawaulize BAMA wenyewe.
But kama kawa kama dawa mtoto wa madale kafanya yake.
 
acha nikae kimya!
Tusije tukashinda mitandaoni tunapiga kura mwisho aje atudongoe kama tunashindwa kutafuta cent kama alivyosema kwenye ngoma yake mpya
 
mbona picha ya Harmo rappa hiyo.
ila huyu kwa sasa kanikera kura now simpigiii
namfungia kuto mpugia kura kwa muda usio julikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…