Diamond kutumbuiza big brother Africa

Ndo nlivyosikia...sina uhakika...ila na talaka alipewa kisa BBA....

Yeye kati ya ndoa na Big Brother kachagua Big Brother....

Yaan sijui big brother itampa nini na kiinglishi cha the the kama cha watu fulani humu cha kutisha watu heheee
 
Tuseme tu ukweli kila tuzo ni anawania Domo ina maana Ally k hawamjuii???? Hiyo domo kuitwa itwa hata kama hapati tuzo ni ushindi unajua???

Me simoo shoga angu...wenyewe washaanza kuja....!
 
Yaan sijui big brother itampa nini na kiinglishi cha the the kama cha watu fulani humu cha kutisha watu heheee

Heheheeee...chezea kiinglish cha Ras Simba wewe....Ze big blaza ze kunipaz ze mshikooo....hahahaaaaa...

Shoga mwenzio nshachukua fomu kwa ras simba kama unataka nikuchukulie.
 
Heheheeee...chezea kiinglish cha Ras Simba wewe....Ze big blaza ze kunipaz ze mshikooo....hahahaaaaa...

Shoga mwenzio nshachukua fomu kwa ras simba kama unataka nikuchukulie.

Mi nataka nijifunze kichina kama anafundisha nichukulie maana kila mtu inglishi inglishi mi nataka kichaina
 
Tuseme tu ukweli kila tuzo ni anawania Domo ina maana Ally k hawamjuii???? Hiyo domo kuitwa itwa hata kama hapati tuzo ni ushindi unajua???
Alikiba kadumaa kimziki kama jaguar wa Kenya,jaguar ye Lila wimbo mpya anaotoa beats ile ile na style ile ile
 
Mi nataka nijifunze kichina kama anafundisha nichukulie maana kila mtu inglishi inglishi mi nataka kichaina

Pale ni kiinglish tuu..tena ndani ya wiki mbili usipokijua anakurudishia ada yako....

Sijui nijifelishee....hela tamu ujuee....
 
Alikiba kadumaa kimziki kama jaguar wa Kenya,jaguar ye Lila wimbo mpya anaotoa beats ile ile na style ile ile

Yaan Jaguar nae jamani hhaa kumbe sio mimi tu yaan bit ile ile sauti ile ile khaa!!!!kama taarifa ya habari unajua sio lazima kila mtu aimbage bana wawaachie kina Davido,p square,Daimondo
 
Tuseme tu ukweli kila tuzo ni anawania Domo ina maana Ally k hawamjuii???? Hiyo domo kuitwa itwa hata kama hapati tuzo ni ushindi unajua???

kiba alituangusha pale alipokaa kimya kwa muda mrefu lakn naamin akikaza hyo domo atabaki historia. ila kuna siku alimkubali kiba akasema ukitaka nyimbo zenye mashairi matamu nenda kwa kiba au ben pol ila ukitaka za biashara yeye yupo fiti
 
Sasa unaimba muziki ili usikilizwe nyumbani au unaimba mziki kutafuta pesa, Ally K anajua kuimba sana na ana sauti nzuri ila nae tunataka amkimbize mchakamchaka Daimond
 
Pale ni kiinglish tuu..tena ndani ya wiki mbili usipokijua anakurudishia ada yako....

Sijui nijifelishee....hela tamu ujuee....

Mi siendi baba watoto atanifundisha anakijua kizungu,we daktare si akufundishe cha kibailogy
 
Sasa unaimba muziki ili usikilizwe nyumbani au unaimba mziki kutafuta pesa, Ally K anajua kuimba sana na ana sauti nzuri ila nae tunataka amkimbize mchakamchaka Daimond

asante sana kwa kuonyesha nawe unamtakia mafanikio ally k ingawa nae ana mabaya yake mfano alipotoka kwenye ile shoo na r kelly akawa anaringa sana kuna cku alikuja pale eatel hata kusalimia hataki.
 
Go on diamond kila laheri haters chupi zitawabana na watazivua tu...
 
Kiba yupo sana huyo Domo sidhani kama ana miaka 2 mbele ya kuendelea kuwa kwe peak IPO SIKU TEAMDOMO MTAFICHA SURA ZENU MBELE ZA WATU acha leo mpige kelele

Huyu huyu aly kiba MSHAMBA? Ally hawez badilika. Ushamba kazaliwa nao. Yan hata swaga zake kwenye stage unajua huyu ni level za kina PNC. Kwenye fiesta nlicheka sana....eti anashika nguzo ya stage afu anakatanayo MAUNO. Yan kutegemea mabadiliko kwa kiba....jitaarishe na vidonda vya tumbo
 
Toka miaka ya nyuma mnasema Domo hana miaka miwili mbele kajamaa hakoo kanasongaaa teh the
Kupata Mafanikio lazima ushindani uwepo Kiba abadilike kabisa nae atambulikee basii

Bora useme labda watakuskia
 
Alikiba kadumaa kimziki kama jaguar wa Kenya,jaguar ye Lila wimbo mpya anaotoa beats ile ile na style ile ile

Mkuu unajua nini,hawa watu wanafkiri Nasib kafka hapo kwa kubahatisha,lakn the effort behind hawaiangalii. Dogo yuko so determined katka mambo kitu ambacho kiba hana. Anawekeza pesa mingi ktk kaz,kiba ndo wale wa INSHA-ALLAH mungu kesho ataleta. Domo anaji express kwa muonekano wake wakistar(ambao anaugharamia),kiba athubutu anaumwa? Anajua ni kuwa exravagant kumbe ustaa gharama. Domo kila anachofanya kiko mtandaoni(show zake kali zote with high population,tuzo,show ya BBA ile ya kipind kle,show ya DRC,washington,etc)hii inamfanya ulimwenguni fans wamdetermine very fast,kiba sasa,hata mtandao wa BONGO 5 ambapo palikuwa na category ya Ally k mwenyewe sasa hv wameiondoa since haina fans. Ay mwenyewe kakubali yaishe itakuwa KIBAKA?ooh sory kiba.
 
kiba alituangusha pale alipokaa kimya kwa muda mrefu lakn naamin akikaza hyo domo atabaki historia. ila kuna siku alimkubali kiba akasema ukitaka nyimbo zenye mashairi matamu nenda kwa kiba au ben pol ila ukitaka za biashara yeye yupo fiti

Hv kuna mahusiano gan ya msanii flan akiwa juu mwingine ndo anaanguka? Ally k hajaanguka kimziki kwa vle Nasibu yuko juu,mziki sio siasa. There is no SURVIVAL OF THE FITTEST in music. Ndo mana naweza kwenda library nkanunua albam ya cristian bella na hapo hapo nkanunua ya fally ikuppa,just fair play,kikubwa tu zote zinivutie. Kwan mbona aly k alikutwa na domo kwenye game? Na wala hakuiga stail yake,kla mtu kivyake now what. Kwanza kiba ashindane na YAMOTO BAND manake ndo yuko angle hzo. Na huko atashka adabu nako,manake madogo moto chini mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…