qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Wote mambulula! imeanza sept 7
Toka miaka ya nyuma mnasema Domo hana miaka miwili mbele kajamaa hakoo kanasongaaa teh the
Kupata Mafanikio lazima ushindani uwepo Kiba abadilike kabisa nae atambulikee basii
hata Mr Nice alikuwa hivi
Mr nice hakufika level za Diamond. Msimkuze kiivo wengi mnaskia story za uongo.
atakuwa mtanzania wa kwanza kutumbuiza BBa
Aisee Team Kiba mtafwariki mwaka huu,Domo anawafanya hampumui na mwanadaresalama yenu
hahahahahaa waambie, hadi nawaonea huruma yani, wamejitahidi kweli na promo, lakini ndio hivyo mwana kapatia ajali msata, uwezekano wa kufika jijini haupo. kwanini mirembe isiwauhuuuu!!!
Sio Dida?
Alishawahi uyo uyo Diamond kutumbuiza BBA enzi izo za Mawazo inatokaAcha ulevi wewe ...mwaka jana kuna mtanzania alitumbuiza ..sema atakuwa msanii wa kwanza mwenye bongeee la domoo kutoka tanzania kutumbuiza