Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wananchi hawapoi.....hawaboi[emoji23][emoji23]
Yanga SC baada ya kutetea ubingwa wao wa Azam Sports Federation na kuwa wametetea mataji yao yote matatu.
Leo Saa 5:00 Wananchi watafanya Treble Parade itakayohitimishwa na perfomance ya Diamond Platinumz.
Shughuli nzima itakuwa mbashara kupitia #AzamSports3HD.
#YangaSC #Azamtvsport
NB: Makolo mnakaribishwa....kiingilio ni Jezi ya Yanga[emoji23][emoji23]