Huyo hakuwa shabiki wa Simba, bali alikuwa shabiki wa KALIKONJI!Simba gari litakapo Waka hatutowahitaji ndumila kama hawa maana tushawajua ni wasaliti wanatembelea upepo appreciation kwa mwanangu tunda man.
Alishajiapiza kuwa, atakapokuwepo, na yeye yupo!Alikuwa rafiki wa legend manara
Ile hit song ya mtu mbadi ni Nini????Tundamani siyo msanii....alishapotea Kwa game[emoji23]
Tundaman na Zuchu wanatosha. Hata ningekuwa mimi, nisingekubali kuacha hela kisa ni shabiki wa simba.Simba gari litakapo Waka hatutowahitaji ndumila kama hawa maana tushawajua ni wasaliti wanatembelea upepo appreciation kwa mwanangu tunda man.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Treble ya nyoooko [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Saa 5 asubuhi au saa 11 jioni?Leo Saa 5:00
Tunda hua anaimba au analia?Simba gari litakapo Waka hatutowahitaji ndumila kama hawa maana tushawajua ni wasaliti wanatembelea upepo appreciation kwa mwanangu tunda man.
Bila picha komenti yako ni sawa 0Kila afanyalo UTO simba wameshafanya Kitambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Shtuka ww, sio kila kazi inahitaji uwepo muda woteKukosa kazi ni kazi sana. Mda wawatu kupiga kazi watu wanaenda kumshangaa diamond? No wonder utopolo walikuwa kutwa wanawapokea washindani wa simba eapoti. Yote hii ni kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato.