Diamond kuuza Instagram Account yake kwa shilingi bilioni NNE za Tanzania

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Akihojiwa katika kipindi cha D'wikend Chat show cha clouds TV ameulizwa endapo akitaka kuiuza Instagram Account yake ataiuza kwa sh ngapi..akajibu dola milioni mbili za marekani ambayo ni sawa na sh bilioni NNE za Tanzania....Kazi kwenu wanunuzi
 
Hao followers ni wa Diamond, akiiuza maana yake followers wata-turn hostile juu ya hiyo account, kwa maana hiyo wataacha kuifollow
Anaiuza kimya kimya bila followers kujua
 
punguza jazba mkuu huu mchezo hauhitaj hasira jiandae kwenda Taifa lowasa nae atakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…