supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Chege c walihackKama Alivyofanya CHEGE.
Racism afu nawe niliblack jikubali tu nduguJustin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
Unaloongea ni kweli lakini tofaut ya wtu hawa wawili mr nice hakuwekeza kaishia kua omba omba dogo anawekeza itakuja kumboost kivyake kipind kafuliaHuyu tumbiri naona anajisahau na kulewa misifa. Amuulize mtangulizi wake Mr. Nice. Kuna siku tena sio mbali hao mashabiki wake watamtupa kama tenga la nyanya mbovu.
NENDA ZAKO NDOMICHAWI NYIE MMEKAA KUWAZA MTU APOTEE NYAU KABISAHuyu tumbiri naona anajisahau na kulewa misifa. Amuulize mtangulizi wake Mr. Nice. Kuna siku tena sio mbali hao mashabiki wake watamtupa kama tenga la nyanya mbovu.
Hivi kama hao followers wakijitoa kwenye account ya Diamond itakuwaje?Wanaitumia kutangaza biashara coz INA followers wengi
We rangi gan bro..Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
"MUTABARUKA"Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
Kawekeza kwenye nini chief?Unaloongea ni kweli lakini tofaut ya wtu hawa wawili mr nice hakuwekeza kaishia kua omba omba dogo anawekeza itakuja kumboost kivyake kipind kafulia
Hahaha hahahh kuna watu sijui wanafikiriaga nini hahawanaichambua kama karanga
Wew kila kitu anachokifanya mdhungu basi kwako kila raia afanye hivyo hivyo, akinya barabarani inabidi wengine nao wanye barabrani, akikojoa hivyo hivyo. I repeat again SHENZI TAIPU BULAKI KARA.Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
Wa bluuWe rangi gan bro..