Will i.a.m
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 347
- 49
hizi ni habari kutoka kwa watu wake wa karibu anaoishi nao sinza na habari kua ana mpango wakubadili staili yake ya nywele ili awe kama mzungu hivyo ameanza kuzibadiklisha taratibu kwa kuweka rangi ya kahawia ili baadae azibali kabisa ioli ziwe kama mj hata drogra alibadili nywele zake ila hazikua nyeupe lakinim kwa muonekano zilikua kama za watu wa ulaya na asia