Diamond kuwekeza kwenye TV itamlipa?

Diamond kuwekeza kwenye TV itamlipa?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Kati ya watanzania walionifurahisha ni vijana wa bongo fleva na bongo movie ingawaje kazi zao sizipendi.

Wamethubutu, wamepambana, wameweza na wanasonga mbele.

Naona Diamond anawekeza kwenya tv na radio zaidi ya kwenye karanga na malashi, itamlipa?
 
Inaweza kumlipa kama ataajiri watu wenye taaluma kuendesha hiyo TV na Radio.
 
Ajitahidi content nzuri,sema ana sehemu ya kuanzia tayari(mtaji wa mashabiki) ,nadhani watu wengi watataka kuona tv yake ina nini hata wakina Ali Kiba
MSAGA SUMU, hivi wamiliki wa TV hupataje fedha
 
In every successfull men,there is a woman behind.Amshukuru Mganda maana angemngangania yule mjasiria mali mwingine wa endless love, loooh!!! sasa hivi tungeshaongea mengi
True
 
Mwitiko wa kwenye karanga haujawa kama alivyopiga hesabu. Kiashiria ni kuanza kutoa promo kua ukinunua karanga utakuta zawadi ya gari, bajaji n.k.

Sijioni nikinunua karanga ili nipate zawadi ya gari.

Tv nahisi kigingi ni clouds na E tv akiwa na content nzuri anatoboa
 
Back
Top Bottom