Diamond kuwekeza kwenye TV itamlipa?

Karanga zinalika sana mkuu,,sema anaongeza wigo wa biashara tu..
 
Fela, Tale, Sallam na Mondi hapo hatujui shares zipo vp? Kwahiyo hatujui kama itamlipa au lah labda tujue Ana hisa % ngapi?
 
Fela, Tale, Sallam na Mondi hapo hatujui shares zipo vp? Kwahiyo hatujui kama itamlipa au lah labda tujue Ana hisa % ngapi?
Suala la % halina uhusiano kama itamlipa au hapana! Akiwa na share kiduchu atapata/atakula hasara kiduchu na akiwa na hisa nyingi atapata/atakula hasara nyingi... simple!
 
Hii biashara ya tv nahisi huwa haina hasara, sijawahi ona mtu kachemka.
Labda hivi vitivii vya chumba kimoja vinavyorusha youtube naona kama tamati yao inatabirika
Naunga mkonyo hoja
 
Suala la % halina uhusiano kama itamlipa au hapana! Akiwa na share kiduchu atapata/atakula hasara kiduchu na akiwa na hisa nyingi atapata/atakula hasara nyingi... simple!
Kama Majizzo ameweza itashimdikana vp Diamond na Hamisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…