Diamond kweli ni "Baba Lao"

Umenena vizuuuuri bro!
Mond baba lao!
Katika karne hii kwenye muziki wa kisasa,Mond ndio Nyerere wa bongofleva.
Bongo hapa,tuna,1)Mwalimu Nyerere,2)Mlima Kilimanjaro,3)sisi ni wakarimu sana,4)tumepigania ukombozi kusini mwa afrika,5)Na kwenye muziki tunaye diamond
 
Mtu akiwa hana pesa huwa na mawazo mazuri sana.
Mkuu sijakuelewa vizuri kwa hiyo statement yako,kama unamzungumzia diamond si kweli anao uwezo wa kufanya yote hayo niliyoandika au kama unazungumzia mimi sina pesa ndio maana nina mawazo mazuri ni kweli pesa sina ya kufanya hayo nimemshauri kwa kuwa ni msanii na mleta mada amemlinganisha na kina davido na psquare na nikiangalia hao wanaija wana mansion za kufa mtu na hawatembelei mjapani mwendo uk,germany,USA etc
 
Sawa ngoja wale walio ibiwa PENSELI yao waje
Ngoja nione kufikia 31 December 2019 huu uzi wako utakua umefikisha posts/comments ngapi na likes ngapi.
 
Eeee wanamcheka[emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza kuja goti (lee kunja goti)
kisha vua shati (eeeh vua shati)
cheza kama monkey(aiii!)
vunja ukidanki danki..
tumewachapa (kidude)
hakichomok (kidude)
kimewanasa (kidude)
wanatapata (kidude)
 
Mkuu umeandika poa sana. Umekumbusha historia ilivyo. Yapasa Diamond apitie hapa. Anaweza akacheeeeka saaana
 
Asante kwa copy and paste hii hbr umeitoa kwny blog ila mtunzi nimesahaulika hata ungetaja blog basi ingekuwa afadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…