Diamond kwenda Nigeria Kufanya Video Nyingine

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa wasanii mbali mbali kutoka Ghana na Nigeria wanamtafuta kufanya nae Collabo ....Diamond Amehabarisha kuwa siku si nyingi ataelekea pande hizo za Nigeria kufanya Video mpya ambayo bado hajasema ni wimbo gani, Pia atapitia Ghana kufanya Collabo Kadhaaa....Big Up
 
Hapo tu mi namkubaliii kwa mengine sasa wee,go goooo Diamond wenye wivu watashaaa
 
wabongo bana....mbona inaonekana anakwenda kuvizia kolabo, na sio kugombaniwa wafanye nae kolabo!!!?
 
Hiyo mividole na hizo Pete wala haviendani...

na huko kujichorachora ndo ksbisaa utadhani mdoli wa duka la nguo..

Aache kuiga iga mnfssssssszzz
 
Mungu amjalie atimize ndoto zake,ila kusema kua kawa lulu na anagombaniwa nakataa labda yeye ndo anatafuta collabo.
 
Itakuwa ndio video ambayo itambid atumie badget kubwa kuliko zote alizowahi fanya.....Huo wimbo wa hiyo video sasa,na vichwa/wahusika watakavyokuwemo humo!!!!!!!ni shidaaaa ya mwaka...kaeni tu mkao flan
 
Itakuwa ndio video ambayo itambid atumie badget kubwa kuliko zote alizowahi fanya.....Huo wimbo wa hiyo video sasa,na vichwa/wahusika watakavyokuwemo humo!!!!!!!ni shidaaaa ya mwaka...kaeni tu mkao flan

***badget*** ni "budget" msifikiri kubahatisha kuokota hela mtaibahatisha na lugha ya malkia....
 

Anafanya vyema katika kazi zake. mpaka sasa bado sijasikia wimbo mbaya aliotoa. zote huwa zinakamta kiukweli.
 
Tunataka ashinde Grammys na afanye duets na the likes of Pharell, Jay Z, Lil Wayne etc na sio hawa popo wa kiwest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…