Diamond kwenye tuzo za BET 2014 akihojiwa na girlfriend wa Chris Brown Karrueche Tran

Diamond kwenye tuzo za BET 2014 akihojiwa na girlfriend wa Chris Brown Karrueche Tran

Hakawii kutupa mistari diamond hapo. Tupa mistari mtu wangu,uuze.
 
Unamfananisha na wema au penny??

Ndio si wanawake wote,na wanatongozwa kama kawaida. ila huyu atupie mistari ili atengeneze bifu na brown auze jina duniani,,ni akili ndogo tuu. magazeti pendwa yataandika kinoma.
 
Naona angalau wameelewwana kwwnye lugha hapo angekua AY, juma na inspekta mngetamani kuinamisha vichwa ndio maana huyu jamaa anafanikiwa maana hata lugha naona ameifanyia juhudi.ana ujinga wake ila kwa juhudi zake tu tumpe credit
 
Back
Top Bottom