Yani hii iwe inawapata wanaume wote wakisusa watoto.watoto wanaosuswa wafanikiwe at the end.na wababa hao wabakie taabani.AMEN
acheni ujinga..
abdul atabaki kuw baba diamond hata kama alimfanya nini..
mtu akishakuwa mzazi n mzazi tu milele hata akukosee nini,kama alikasirishwa sana na alichofanyiwa na huyo babake basi asijiite NASIBU ABDUL atafte mzazi mwngne wa kiume..
alafu kwa yeyote aliyeeishi na mwanamke(kuoa) n lazima atamuonea baba diamond huruma,hakuna watu wasumbufu kama wanawake,huwez jua alimkera nini hadi kumkimbia..
Iwe funzo kwa wanaume wote...
Mkishakojoa shahawa mnasepa
Wengine mimba wanazikataa
Mtoto akifanikiwa unaenda mikono nyuma mie baba yako.mie baba yako...
Baba ni zaidi ya kukojoa....
Mwisho wa siku mtoto hana uchungu na wewe
Hawezi kushtuka
Unaishia kulalama
Ndo maana tunaambiwa tumshukur mungu kwa kila jambo, ningekuwa mimi ningemshukuru sana baba diamond, kwa sababu yeye ndo aliyemfanya afike apo alipo kimafanikio, kumkataa kwake na kutokumsomesha kumemfanya awe mwanamuzik mkubwa sana na mwenye mafanikio, pengine angesoma angekuwa mwalimu asingekuwa na mafanikio kama aliyonayo sasa so hana haja ya kumchukia
ulikua unataka kumaanisha nini
Kuhusu nini?
Ndo maana tunaambiwa tumshukur mungu kwa kila jambo, ningekuwa mimi ningemshukuru sana baba diamond, kwa sababu yeye ndo aliyemfanya afike apo alipo kimafanikio, kumkataa kwake na kutokumsomesha kumemfanya awe mwanamuzik mkubwa sana na mwenye mafanikio, pengine angesoma angekuwa mwalimu asingekuwa na mafanikio kama aliyonayo sasa so hana haja ya kumchukia
hiyo laana haiwez kumpata....na iwe fundisho kwa midume inayokataa watoto
Ukitaka kupata picha ya maumivu ya kukataliwa, imagine tu pale unakutana na mshikaji mahali unaanza kumshobokea halafu anakupotezea anakuambia hakujui..... n mshikaji tu huyo, lakini full maumivu!!Inataka moyo sana kukataliwa na mzaz co kitu kizuri yaan ckien ila lisikukute
Na labda angemsomesha, huenda angekuwa ni mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi kv angekuwa mwanamuziki msomi... sina haja ya kukumbusha kwamba kusoma si sababu ya mtu kutokuwa mwanamuziki bali kusoma kunaweza kukufanya mwanamuziki wa aina nyingine tofauti kama usingesoma!Ndo maana tunaambiwa tumshukur mungu kwa kila jambo, ningekuwa mimi ningemshukuru sana baba diamond, kwa sababu yeye ndo aliyemfanya afike apo alipo kimafanikio, kumkataa kwake na kutokumsomesha kumemfanya awe mwanamuzik mkubwa sana na mwenye mafanikio, pengine angesoma angekuwa mwalimu asingekuwa na mafanikio kama aliyonayo sasa so hana haja ya kumchukia
Na labda angemsomesha, huenda angekuwa ni mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi kv angekuwa mwanamuziki msomi... sina haja ya kukumbusha kwamba kusoma si sababu ya mtu kutokuwa mwanamuziki bali kusoma kunaweza kukufanya mwanamuziki wa aina nyingine tofauti kama usingesoma!
Binafsi siungi mkono kumtupa huyo "baba ake" hasa katika kipindi kigumu lakini vile vile siwezi kufumba macho ili nisione how Diamond feels against his own dady... haya mambo kwa mtu ambaye hayajamkuta anaweza asielewe... unaweza kuta mzima alikuwa anatolewa nduki huku anazodolewa!!! Wakati mwingine mtu unatakiwa uwe na upako kusahau kila kitu lakini ordinary human mind unaweza isihia kama anavyofanya Diamond... unaweza kukumbuka siku ulipoumwa hadi unakaribia kufa halafu m-sure hana time vile vile!!!NDomo alishawah kukir kuwa mziki haukuwa kwenye ndoto yake, hali ngumu ya maisha na ufukar ndiyo vilisababisha ajaribu bahat kuimba na ndio maana alianza ku rap coz alikuwa hajui kama anawez kufany ivi anavyofanya sasa
Njia za mungu ni kubwa na unpredictable mkuu so angetakiwa kushukur kwa kila kitu na ndio maana tabu zote na mateso had leo bado yupo hai mkuu its all about Gods plan nothing else. Mungu alimjua kabla na hata uko baadae so he should be thankful for all wat has happened to him
Hata asipomsaidia mbele za Mungu yule ndio baba yake full stop.Hizo hasira na kelele tuu ndugu na Diamond hata kaa apate baba mwingine tena yupo 1 ndio huyo huyo.watu hawajui mamake alihangaika vipi na mtoto ..baba mtu si alimbwaga mtoto akihisi anapunguza najukumu...sasa atulie tu sio kupiga kulele hasaidiwi wakati yeye hakusaidia
Mzazi ni mzazi tu!
Kama humtaki baba yako badili jina uitwe la mama yako...JIPANGE