Diamond: Mahaba niue..kipara ninyonge

Diamond: Mahaba niue..kipara ninyonge

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Diamond Platnumz bana eti ‪#‎mahaba_niue‬ ‪#‎kipara_ninyonge‬!!!
Kapendeza ama?
 
ila huyu dogo kwa upande wa kazi anajitahidi
 
Ili mradi tu Diamond asije kulia lia tena hapo baadae.
 
Wema kamuandikiaa hapo kiingerezaaa

Hapana, Wema anajuwa vizuri kingereza hawezi kuandika broken kama hiyo aliyoandika domo hapo juu. kama huamini rudia kusoma upya ndio utagunduwa hii ni English ya mtu wa kuungaunga tu.
 
kipara kitu gani watu wananyonya hadi miguu
 

Attachments

  • 1395232114373.jpg
    1395232114373.jpg
    24.2 KB · Views: 370
Hivi muda wote wanavaa hayo ma-minyororo shingoni na mikononi.
 
Back
Top Bottom