Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
sure, dogo yupo serious na kazi halafu ingawaje dadaz zinamsumbua, kwa ujumla ame-settle sana ukimlinganisha na wenzake wengi.ila huyu dogo kwa upande wa kazi anajitahidi
Wema kamuandikiaa hapo kiingerezaaa
Wema kamuandikiaa hapo kiingerezaaa
Wema kamuandikiaa hapo kiingerezaaa
Ww ni lini unaweza kumpongeza diamond au ulishawai kujilazimisha akakutosa? Jiangalie plutnum ni atawabinuwa sana
kipara kitu gani watu wananyonya hadi miguu
Ww ni lini unaweza kumpongeza diamond au ulishawai kujilazimisha akakutosa? Jiangalie plutnum ni atawabinuwa sana
sio wote aendelee na hao hao kina wema mara Pen wengne hawako interested na domo