Diamond, Majizo,Melody uso Kwa uso Bungeni Leo, Wabunge walipuka Kwa shangwe

Wabunge wenyewe wa mwendokasi 🤣🤣hatuna bunge,tuna saccos ya maisha nafuu🤣
 
Kweli inawezekana kwako hana ushawishi.
hivi unakumbuka alichowafanyia 2010-2015, kama pale mlishindwa kulikamata dola itawachukua miaka 60 hadi 100 kujipanga upya wakati huo ccm tukiwa tumelala jambo ambalo halipo.
chadema zindukeni usingizini makamanda wa anga hata kufangia uwanja wa Ufipa Kinondoni ni shida vipi kuendesha nchi
 
Mimi ndio maana niliwagomea mwaliko wao
 
Dada mpikie mumeo chakula ale kisha akukule wewe.
Huna unalojua kwenye siasa.
 
Soon kajala ataenda na mwanae

Mule mjengoni

Bunge limekuwa nyepesi sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…