Diamond mdomo huu vip tena?

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Au mijicho yangu tangu ipate redeyes sijapata kuona fresh...

 
JoJEETA wangejua wanapopataka wasichana ni hapo tu(domo).....hhahaah

Du, kweli wanawake mwalimu wao ni kipofu mwishowe hujikuta wanatukana wanaume bure. Sasa domo kama hilo kazi yake nini kwa wanawake?
 
demu wako akichapwa tafuta mnyonge umchapie sio kumtusi alokuchapia
 
bnafc ckutarajia kweny grup la wa2 tunaojiita great thnkers kuna weza kuwa na m2 anayeweza kuandika upuuz upuuz kama huu wa kwako cz v2 vyote vya ulimwenguni vmeumbwa na mweyez mungt xo nakushanga unaye mnyoorhea kdole diamond ilihal n wote 2meumbwa ma mwenyz mungu kaa chni ufkirie kiæ cha kuandika na cyo o kukurupuka kama ulvyofanwa hapa
 
hivi mkuu BAGAH kuna mtu alipata nafasi ya kumuomba Mungu amuumbe jinsi ya huyo mtu atakavyo au diamond na sisi wote tumejikuta tu tuko kama tulivyo?
Tusihoji wala kudhihaki kazi za mikono ya Mungu.

God made man, man made lipstick...
 
Last edited by a moderator:
wewe kilaza acha kumsingizia ALLAH, huo mdomo unauona upo sawa hiyo lipstick ya zambarau!?
 
wewe kilaza acha kumsingizia ALLAH, huo mdomo unauona upo sawa hiyo lipstick ya zambarau!?

Degedege kuna mimtu humu inajua kukurupuka...sijui kama ni ndege au mnyama niwafananishe na nani...afu viherehere kutaja mungu as if wasafi saana!...mm nimeweka picha kwa ajili ya rangi hapo mdomoni...
 
Last edited by a moderator:
hivi mkuu BAGAH kuna mtu alipata nafasi ya kumuomba Mungu amuumbe jinsi ya huyo mtu atakavyo au diamond na sisi wote tumejikuta tu tuko kama tulivyo?
Tusihoji wala kudhihaki kazi za mikono ya Mungu.

Acha kukurupuka wewe...Mungu unamjua au unashoboka tu humu...ala!...mm sijazungumzia ukubwa wa mdomo...naongelea rangi ya mdomo...kama huelewi jambo funga bukuli lako!....mmmppppxxxx!
 
Last edited by a moderator:

edwin monyo....kwanza ulivyoandika tu nimejua ww ni mtu wa aina gani...vifupi vya maneno na shutuma zako...unatumia nini kuwaza?...au ndo unachangia ili uitwe senior expert?....

kiufupi siongelei ukubwa wa huo mdomo...itazame picha...na kama upstairs uko timamu utajua nazungumzia nini!...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…