Diamond mdomo huu vip tena?


Wallah sijawahi kukusoma ukiwa umekasirika hivi!!!

Hakika leo utakuwa umechukizwa sana na hawa vinyakunyaku...
 

Acha kutoka povu kwa unazi..wanachokisema watu ni kupaka lipstick sio kuhusu uumbaji wa mungu.

Hiyo ni lipstick inaonekana kabsa usijitie upofu na haipendezi mwanaume mwanaume kuwa na tabia za kishoga ka diamond lazima tuseme!! Apparently,you too need get a life-other than huo ushabiki maandazi!
 
Mtundu Kisu tatizo wewe diamond unamjulia kwenye jukwaa la picha ndo maana ,mi namjua tokea anauza mitumba, lips zake ni nyekundu,hajapaka lipstick,mi naona kapaka lip balm kitu ambacho si ajabu kwa wanaume kufanya.
Na hata kama kapaka wee kinakupunguzia nini,wewe kama wa maana sana nenda jukwaa la great thinkers au siasa ukajadili jinsi ya kuikomboa nchi,haya mambo ya kujadili lipsticks tuachieni dada zenu mkisutwa msiseme sijawakanya.
 
Last edited by a moderator:
Duh!

Umekasirika sana bibiye.

Kukosoa kazi ya mwenyezi Mungu si jambo jema, lakini mimi sikudhani kama huyu mleta hoja amekosoa maumbile ya Diamond.

Nadhani wasi wasi wake ni kuhusu lipstick, however mtu kama wewe unayeonekana kumfahamu Diamond vyema, ungemwelewesha tu mleta mada kama ulivyojaribu kwenye bandiko lako lililofuatia, lakini duh!

Neways, pole sana bidada.
 

hakika wewe ni wema sepetu...mana ilo povu la ndovu special malt limepanda si kitoto...
 
Last edited by a moderator:
Wallah sijawahi kukusoma ukiwa umekasirika hivi!!!

Hakika leo utakuwa umechukizwa sana na hawa vinyakunyaku...

Nyani Ngabu kumbe na wewe mwimba taarabu ndugu yangu?...vinyakunyaku ndo nn sasa?
 
Last edited by a moderator:

we na wewe subiria chei chei...tutolee harufu ya maziwa hapa!...
 
bora umewambia wana kera sana,wanasahau hawajafa hawajaumbika,chakushangaza wanaume wanaanza kumchambua mwanaume mwenzao kama mabinti!!! ina sikitisha sana! diomond ni mwanaume mwenzetu tumrekebishe anapokosea siyo kumtukana! sidhani kama design ya wanaume wa namna hii wana faa humu jf! basi kila mtu aweke picha yake tuione kama amekamilika, na nia ya hii thread si kuoji swala la lipstic inaonekana wazi .
 
jmushi1 wewe hujamshitukia mleta mada,amini usiamini lengo lake sio kusema lipstick,huyu anapenda sana kukosoa binadamu wenzake,hapa mi nakwambia alikua anataka watu waanze ooh chai jaba sijui domo kubwa,mim najua sijakamilika lkn yeye kwa vile amekamilika na ana guarentee kuwa atazeeka hadi kufa bila kupata ajali yakumpa ulemavu wa aina yeyote basi namuomba aweke picha yake hapa tumpe hongera zake.Ila kama yeye ni handsome basi Mungu huyo huyo aliyemfanya yeye handsome ndiye aliyemfanya mtoto wa watu kuwa na mdomo ambao wao kumdhihaki.Hata hivyo mim sion kasoro ya huyu kijana wa watu.
hakika wewe ni wema sepetu...mana ilo povu la ndovu special malt limepanda si kitoto...
kweli wee mjanja wa mujini kumbe unaijua ndovu special malt,big up.

Nyani Ngabu kumbe na wewe mwimba taarabu ndugu yangu?...vinyakunyaku ndo nn sasa?
vinyakunyaku.com

ruttashobolwa kama kukamilika ni kupa lipstick...mimi sijakamilika!tafadhali kama mtu hajaelewa mada sio lazima uandike kitu!
tunajua lengo langu ulitaka watu waseme mdomo wake ni mkubwa ili ufurahi,weka picha basi tuone wa kwako ulivyo mdogo kama alama.Ukute nyie ndo full hadi kope za bandia,wanja na mikorogo juu.
umeonaeee,bora na wewe umemshitukia kuwa hapa alikua haoji lipstick alikua tu anataka watu waseme eti diamond ana mdomo mkubwa.Aweke picha yake tumuone yeye alivyo handsome usikute sura ka anachomwa sindano.
 
Last edited by a moderator:

kwahiyo wewe unakubaliana na suala la mwanaume kupaka wanja? Hata kama ni utandawazi siyo kiivyo jamii isipomkemea iposiku atapanda jukwaani akiwa amevaa gauni sijui nalo mtamteteaje?
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo wewe unakubaliana na suala la mwanaume kupaka wanja? Hata kama ni utandawazi siyo kiivyo jamii isipomkemea iposiku atapanda jukwaani akiwa amevaa gauni sijui nalo mtamteteaje?

bwana wee usinihoji maswali yasiyo na kichwa wala miguu,mwanaume kupaka lipstick huo ni ushoga na mim sikubaliani na ushoga,Majibu ya ulichouliza yapo hapo kwenye coment yangu uliyonukuu lkn hujaelewa chochote,tafuta ndugu yako mwenye akili kukushinda asome hiyo coment yangu uliyoquote kisha akishaielewa akufafanulie kwa style ambayo unaweza kuelewa maana mim kama hujaelewa hicho ulichoquote sidhan kama nina weza kukuelewesha.
 
Kama masihara sasa maongezi ya burudani bila diamond hayajawa maongezi!mkali platinumz mwaka wako huu mnyama!...msafi,anapiga pamba zinampendeza na hana kitambi,anamiliki watoto wakali,ana kipaji,msanii wa bongo anayelipwa vizuri katika show zake......tatizo lake ni dogo sijajua kama ni ushamba,kukosa elimu au ulimbukeni!akijirekebisha hapa huyu mkali atakimbiza katika game kwa miaka mingi!
 
sasa wadau kama nyie si ndo wa kumuelekeza wapi anapokosea..unadhani ukiwa unafanya jambo la ajabu mwenyewe unajijua basi mkumbusheni mr nice enzi zile sijui kafia wapi siku hizi
 
sasa wadau kama nyie si ndo wa kumuelekeza wapi anapokosea..unadhani ukiwa unafanya jambo la ajabu mwenyewe unajijua basi mkumbusheni mr nice enzi zile sijui kafia wapi siku hizi

shosti..bongo unaijua!kila hatua ukipiga kimaendeleo unapata washkaji wapya!shetta au ommy wanaweza kumshauri nini diamond zaidi ya kusikia raha kuhang naye!ila atashauriwa ni yeye kusikiliza au kupoteza!
 
Last edited by a moderator:
sasa wadau kama nyie si ndo wa kumuelekeza wapi anapokosea..unadhani ukiwa unafanya jambo la ajabu mwenyewe unajijua basi mkumbusheni mr nice enzi zile sijui kafia wapi siku hizi

shosti..mr nice anang'aa sana masai club kinondoni kwakweli anatia huruma hata hao madem anaohang nao ni aibu!amekuwa na heshima hata kama mtu hamjui atamsalimia tena kwa kumuita kaka!umaarufu wa bongo nauogopa nikimuona mr nice!tujifunzeni....maisha ya mr nice kwangu ni somo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…