Ila Peny kama akienda itakua poa sanaAaaawwww sooooo sweet! Nimependa, penina atakwenda na lemba lake, au safari hii atawaacha wenzake wapumuwe.......!??
He kwani Peny kashatemwa?cjaisikia hii habari mwee pole yake km n kwelHivi huyu dada kakosa nini? Kwa nini wanawake wengi wanamchukia kisa tu aliwahi kuwa na Diamond..yaani kupinduliwa kuna watu wamefanya sherehe. Mwenzenu katendwa..mnamuona mtendaji ndiye shujaa!
Hivi huyu dada kakosa nini? Kwa nini wanawake wengi wanamchukia kisa tu aliwahi kuwa na Diamond..yaani kupinduliwa kuna watu wamefanya sherehe. Mwenzenu katendwa..mnamuona mtendaji ndiye shujaa!
Hivi huyu dada kakosa nini? Kwa nini wanawake wengi wanamchukia kisa tu aliwahi kuwa na Diamond..yaani kupinduliwa kuna watu wamefanya sherehe. Mwenzenu katendwa..mnamuona mtendaji ndiye shujaa!
Huyu dada alikuwa shoga wa wema kidole na pete, yeye ndo alimpindua wema kwa diamond. Muache aonje joto ya jiwe.......atasanda mwaka huuuu, atajutraaaaa kuiba vya mashoga
He kwani Peny kashatemwa?cjaisikia hii habari mwee pole yake km n kwel
kumbe watu mnapenda wengine waachane. anyway tutapata story zaidiHuyu dada alikuwa shoga wa wema kidole na pete, yeye ndo alimpindua wema kwa diamond. Muache aonje joto ya jiwe.......atasanda mwaka huuuu, atajutraaaaa kuiba vya mashoga
Watanzania cjui wakoje..wanpenda ushabikiii...
hakuna kitu kama hicho..na hakitotokea..
hamuelew kilicho nyuma ya pazia khusu hawa watu...
mnahadaika tu na media
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..
asijesababisha msiba mwingine......., nadhani waliokwenda wanatosha, ye abaki mtazamaji wa picha kwenye mitandao!Ila Peny kama akienda itakua poa sana
ni mke wa pili, alimuoa kimila 1982
inaonekana kazi yake haina mipaka hadi kitandani kwa bossWhere does the scope of your Work end? Do you get to monitor and publicise on who sleeps with your boss kwa muda mfupi na mrefu?
Gosh, i hate your job. Namshukuru babangu Mtambuzi kwa kunipeleka shule
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..
Hapa nahisi nimeingia sipo....