Diamond mkali wa jingle

Ya voda ilikuwa moto chini ikifuatiwa na Coca zilizobaki zote ushuzi tu
 
Wengi mmeongelea ya Coca na kuonyesha mliikubali..lakin kwangu bado sijaona kali kushinda ya Vodacom Ongea Dailee!ile ilikua ni zaidi ya tangazo!
Mule ndani kamuimba na zari wake......ilikua hatari fire hii makitu.
 
Ile ya coca kuna watu waliletaga humu jf tukaidownload tukawa tunasikiliza kama nyimbo. Alitisha sana ile, nilitamani tangazo liwe na dk 2
 
If he impress you so much, fanya ku support pia harakati zake. Unaweza kuwa wakala wa Diamond Karanga mkafanya jambo la maana zaidi. Be Fan and be a Boss.
 
Wengi mmeongelea ya Coca na kuonyesha mliikubali..lakin kwangu bado sijaona kali kushinda ya Vodacom Ongea Dailee!ile ilikua ni zaidi ya tangazo!
Mimi kwangu ile kicheko chake akinywa pepsi ndio nzuri
 
Well said huyo ndo mfalme wa hayo mambo.
 
Inapendeza... anatumia nyimbo zake hizo hizo kutengeneza jingle...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…