Diamond: Mnajaribu kuniachanisha na Zari lakini hamtoweza

Diamond: Mnajaribu kuniachanisha na Zari lakini hamtoweza

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
12976137_1700362946885122_96814631_n.jpg

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha.

Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza tangu zivume tetesi kuwa hitmaker huyo alimsaliti mpenzi wake na mrembo anayeonekana kwenye video ya msanii wake, Raymond, Kwetu.

Msichana huyo aitwaye Irene anadaiwa kuitikisa ngome ya The Chibus.

13150841_1059293014132675_910153032_n.jpg

Irene

Akipost picha ya Zari kwenye Instagram, Diamond aliandika: Roho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady.”

Source: Bongo 5
 
Mahaba Niue.............!!!!!!!!!!!!
 
Wamemfilisi Idris na kumtupa kabisa. Hali ni ngumu wameona hakuna bwege aliyejitokeza hivi karibuni kumpapatikia mahips.

Wakaona bora wajaribu kuwafitinisha labda bahati nyingine inaweza kuja tena na kusahau kuwa (Golden opportunity never come twice).
 
Ni hivi majuzi tu tulisema Celebs wa bongo waijifunze style za Hollywood.Akina Jay na Bey are makin a lot of money kupitia hata conspiracy theory za ugomvi wao.Lakini huku kwa akina Pudensiana na Joachim au Mwajuma na Sadalla ni full masimango na kulogana for nothing.Shame!
 
Ha ha ha ha ha shemeji nawewe lol
 
Back
Top Bottom